Ili kufikia somo fupi:

Hatua ya 1: Bofya kiungo cha Somo Fupi kilicho hapo juu.

Hatua ya 2: Chagua "Ingia"; somo fupi litafunguka kwenye dirisha jipya.

Hatua ya 3: Bofya mshale ulioko chini ya skrini ili kuanza somo fupi.

Ikiwa unahitaji kutoka kwenye somo fupi kabla ya kulikamilisha, bofya "Exit Course" kwenye kona ya juu kulia ya skrini au funga dirisha hilo moja kwa moja. Maendeleo yako yanapaswa kuhifadhiwa kiotomatiki.

Ndani ya Somo Fupi, kutakuwa na mfululizo wa maswali na shughuli katika kipindi chote cha somo. Maswali na shughuli hizi zimetengenezwa ili kukusaidia kujifunza na si kwa ajili ya tathmini.